Kuna towns in kenya bado on a normal day ikifika saa moja wanafunga kazi and on Sundays nearly 70% of the business are usually closed, tutawai fikia Singapore na hii mentality kweli 🤣 ? Wewe mahali umeweka biz huwa unafunga saa gapi?
0