Kuna venye nimesoma hii statement nikajiuliza maswali šš "Just because you can doesn't mean you should..."
Ushawai jipata kwa situation you did something juu ulikuwa na uwezo but later unasema ata heri ungelenga?!