
Kuna vile research yangu imenionyesha mayouth wengi wanazua #Farming na hustle zingine juu ya #shame yaani “mamorio watasema aje,watanicheka,watanitoka..etc" Wacha kuwa duanzi mtu wangu...choma hio mahindi bazuu,chukua jembe nenda shamba,pika hizo chapo bana kazi ni kazi na hakuna pesa iko na title....Vybz Kartel husema life is what you make it so hustle for your own money my guy👊👊👊 #FormNiKujituma

0
0
0