
Kuna vile vijana wanakimbilia loans za mobile apps hili wafungue biashara ama wa-expand biashara zao. Lavender amekuwa kwa biashara for a while anatuchanua the basic things to consider before applying for any business loan. Lakini mbona vijana u-apply for loans with a plan to support their hustles or business lakini Wana end up kutumia hizo pesa mostly kwa enjoyment zikiingia kwa mpesa ama accounts zao? #ShujaazBiz #Lindafam
0
0
0