
Kuna vitu mob wasee wa creatives huoverlook, na moja ni mental health. Kujikaza daily kudeliver, kushughulika na clients tricky, na pressure ya online inaweza ku-drain akili mbaya. Ukiona umechoka, chill kidogo, piga walk, ongea na beshte ama hata fanya kitu ingine tofauti.

0
0
0