
Kuna watu hujiuliza ni kwa nn wanashindwa kupata the required documentation za kurun business legit. Hii hutokana na watu kukosa kfuanya research kujua if hiyo business anataka ku run gava imeiwekea sheria. Ni poa kama MESHer ujue if biz unadai kuanza iantaka license ama hapana. And if inataka ni ya how much ndio usijiapate pabaya. Hii info unaeza:
- Uliza beshte yako ama mentor
- Unaeza pia Google
- Unaeza pia tafuta details from reliable sources kama watu wana run same business
0
0
0