
Kuna watu stress na depression inawasumbua juu ya biz Amejaribu kila kitu but hakuna kitu inamsaidia. Wasee most huturn to drugs which is never the best solution. Leo nadai tuongee kuhusu vitu umeduu na zikakusaidia ku release stress na Ku avoid depression.
Mine is -- I call a random number and tell them my problems and the advice I give works most of the time
Na wewe si utusho yako
0
0
0