Kuna watu wanatry kuanza bizna ya kuuza household items kama vile Utensils Carpets Furniture
Wewe kama mesher uta mpea advice kuhusu biashara gani na kwa nini?tupee tips kwa comments sections.