
Kuna works imejipa apa na ni easy sana kwa gava, program inajiita Ajira ku scan na data entry kwa computer zao. Siezi post link hapa but unaeza i search, apply na uchangamkie kazi. Deadline ya ku apply ni Sunday 20th March. Ukikosa hio link, inbox me nku forwardie. #Tujijenge.
0
0
0