Kuna works ya vjanaa ya data entry kwa ministries hukua every year na imetokea tena sa hii, inaitwa Ajira digital, google ii job afu apply before Sunday 20th March. Ukikosa naeza ku forwad link, Mesh app haikubali ku post link apa.
0