
Kunakuanga na issues mob kama shopkeeper wa general shop when it comee to licensing. Kila time unakimbizana na kanjo hapa kule kuhusu lciense. Usitense kuna njia rahisi ya kulipa hii license.
- Unaeza lipa 100 every Friday which is 400 per month. Hii ni if business yako bado ina grow. Hii itakuhelp ku avoid kufunga duka anyitme kuna crack down.
- Unaeza lipa ile 5K per month. Hii inalipwa once na kanjo hawatakusumbua for a whole year. So kama MESHer chagua ile poa kwako ndio ufanye biz bila kusumbuliwa ama kuogopa kushikwa na kanjo...
0
0
0