
Kuname your business wisely ni kitu important sana. Following ni some of ways unaweza kufollow ukiname your business: 1.Unaweza tumia jina yako kumarket your business especially kma iyo jina inajulikana na wasee mob. 2.Name ya bizna yako haifai kuwa inamatch na ya any business in the same area. 3. Pia unaweza name business yako ikidepend na vitu unaplan kuuza.For example kma unataka kuanza biashara ya hotel then unaweza name your hotel as "MEALS DELICIOUS RESTAURANT" ndรญo at least huatract more costumes wenye watataka kuverify if meals zako ni delicious. 4.Unaweza pia kutumia jina ya celebrity yeyote yenye unajua that wasee wengi wanamlike kwa iyo area. 5.Unaweza pia toa jina ya successful business ya the same field na yenye unataka kuanza then uitumie kwa biz yako. ๐๐