
Kuomoka Challenge inaendelea fiti sana!!🙌
Sasa take time ku-review budget yako!💸
Millie ame-share about ku-review budget this week. Cheki vida hapa: https://mesh.life/app/watch...
After kutoa all the expenses from income yako, umebaki na doh ngapi?

0
0
0