
🤔kuoshwa ni part of the game💔😂
💡Kitu moja na opportunities online msee akirealize hakuna kitu unajua atakuwa inclined kukuosha kakitu adii kaa ni morio wako😂💔
💔But usichukulie personal, juu hao wasee pia wao before wapate iyo info unadai walioshwa in the process😂, ndio maana ukuwa ngumu msee kukutombokea info ya form ya online Bure,
💡Adii kaa ni morio wako kuwa willing kutoa kakitu ku_appreciate info anakupea, otherwise akirealize wewe ni msee mstigy na unataka vitu za Bure atachoka kukusaindia at some point,
♥️ Truth is hakuna info valuable ya opportunities online unaeza pata for free, lazima ukuwa na something una_offer in return na network pia usaindia big time🤝 always remember that meshers ♥️💯

0
0
0