
Kupambana na Procrastination: Kuandaa Malengo na Mpango wa Utendaji.
- Kuelewa Malengo Yako kwa Undani
Swali: Unataka kufanikisha nini?
Chukua muda kufikiria malengo yako. Kama ni biashara, je, ni lini unataka kuanza? Activity: Andika lengo lako kubwa, kisha livunje vipande vidogo vinavyoweza kutekelezwa kila siku.
Mfano:
Lengo Kubwa: Kuanza biashara ya coaching. Vipande Vidogo: Wiki 1: Tambua niche yako (coaching ya procrastination). Wiki 2: Tengeneza mpango wa huduma unazotoa. Wiki 3: Fungua akaunti kwenye mitandao ya kijamii na uanze kutangaza.
For pdf's 550 Dm 0758529557
0
0
0