
Kupata business loan inaeza kuwa ngumu sana kama hujajipanga fiti kwa biz yako. Marto runs an executive salon sides za Umoja and he shares with us the secret of securing business loan. Nini inafanyanga vijana wanyimwe loans by banks ama mobile loan providers? #ShujaazBiz #LindaFam
0
0
0