Kupata capital nilianza na kufanya mjengo, sahi niko na duka kwa ivo kijana usilale ukisingizia eti hauna capital.