
Kupiga hustle lazima ujitume. By the time unafikie customer unapitia vitu mob. Security ya mtaa, kunaeza kua matope , machuom sio fiti so inabidi umebrace yourself. Either way lazima tufikishe bidhaa na kila hustle iko na challenges zake. #SisiNiMesh
0
0
0