Kuraukia site : mapema ndio best stage one ya kumap na kutengeneza trenches done leo ni kukoronga vizuri safety lazima reflector na helmet lazima ivaliwe site trust the process. #construction