Kurefill gas kwenu imefika gapi wasee huku 6kg tunafanya na 1400-1500 depending na gas yenye unataka.