
Kurun kinyozi pekee sometimes hukua boring and it lack back up. Some of yhe best ways kuback up kinyozi yaki na ku introduce new clients kwa biz yako ni kama hiz;
- Kama space iko add other services: Kama Manicure na pedicure hapo kando.
- Pia you can add place where you offer massage service. This itakua fiti sana ku attract more services since uko na every service client ata need kwa kinyozi bizz yako.
Remember, Clients wana prefer services zao zikue cheap na services zikue top.

0
0
0