
Kusave as youth hukua kitu challenging sana. I realised kila year ilikua inapita na sina hata kabob mahali naeza sema nimejiekea hata kamia! Wueh, beshte yangu akaniambia ingia kaSacco ukue unaeka hata 50bob per month juu mayut pia si mnaelewa mshahara hukua hand to mouth? Nikaingia Sacco sai mi hujiekea tu 200 per month🥹. Najua ni step ndogo but I'm sure itakuja jipa after several years hapo. Ebu mnichanue kuhusu kusave on saving kwa bank
0
0
0