
Kusema ukweli hii ongezeko la bei ya mafuta imekuwa changamoto kwetu sisi kama Meshers.Wengine wetu tunatengemea usafiri kwenda maeneo yetu ya kazi,hii ina maana kwamba ikiwa nauli basi itaongezeka pia faida yetu itaenda chini.
Wengine wetu ni bodaboda riders,hapo iko shida ya moja kwa moja kwa wenzetu hawa.They must fuel their motorbikes for them to do their hustle, tell me now,bei ya mafuta ikiwa kiasi hio lazima itawasukuma waongeze nauli kwa customers wao,jambo linalowaweka katika hatari ya kuwaloose customers wengine,jambo linalohatarisha hustle yao.ASENTENI.
0
0
0