
Kushinda Middlemen: Jinsi ya Kuuza Direct kwa Consumers:
✅ Join Farmers' SACCOs
✅ Weka website yako ama Facebook page
✅ Direct market kwa hotels, schools, supermarkets
✅ Online platforms kama hapa MESH, Selina Wamucii, Twiga Foods
Uko na another method? Tuchanue kwa comment section.
0
0
0