
Kutoka Passion Kuwa Bizna
Wanasema picha ni kama maneno elfu, lakini kwangu, ni lessons za maisha. Nilianza na photography kama passion tu, lakini sai ni hustle inanipea doo, inatell stories, na inakam moments za life.
Hizi mapicha tatu si picha tu—ni proof ya growth, kujituma, na kuamini kwa talent yako. Kama uko na kitu unapenda, usiogope kuanza. Jitume, jifunze daily, na acha kazi yako iongee.
Hata wale mabazu walianzia chini. Leo ndo siku ya kuanza!
#HustleNaPassion #PigaKazi #PhotographyBiz #AfriquePixels



0
0
0