
🤑kutumia smartphone kama biz yako 🤔💪
💡 Smartphone ukuwa na uses kadhaa, wasee most utumia ku_contact wasee na ku_access info online but pia........
💡Unaeza tumia kusaka clients online na upige hustle yako......
💡 Platform mingi za freelancing kama fiver ama Upwork hivi ukuwa na mobile app vile unaeza access services zao na uchukue jobs upee wasee wafanye adii kaa hauna laptop ama relevant skills una_act kama broker na unamake dooh yako safi 💯
💡Plus saa hii kushika smart phone ni cheap juu price zinarange bei affordable na bado unaeza shika phone on loan kwa opportunities kama jiinue ama partnership ya mesh na shortlist hapa tuu kwa platform...... Ama uchukue tuu mkopa ukuwe unalipia daily pole pole 🤔
💡 Muhimu ni kuchangamkia opportunities unaeza leverage na simu yako and make some money out of it ........ possibilities ni mingi, keep thinking big meshers ♥️🔥

