Kuupgrade shop yako isikupe pressure
Add value polepole
Usianza na capital kubwa—anza na basic items, then grow into:
MPesa
Airtime
Fresh produce
Snacks
Cleaning items
Gas refilling point
Growth ndogo ndogo ndiko kunalipa.