🤔Kuwa Fashion Designer una-need nini?
Roy amechapiana na Lorenzo, Fashion Designer mnoma sana huku Kanairo!
💪 Brand yake inaitwa Urban Trends.
Tushow kwa comments, ungependa kucheki hustles gani next?