
Kuwa inspired na story ya John Magiro. Hakupita sana high school aliget grade D.
Alianza his own Hydro power plant ocha kwao ni Murang'a and is now powering his whole village with electricity kwa watu hawako kwa na Kenya Power grid. 🔋
Ana charge Ksh. 200 per month per home. 💡
Kama uko na idea ama project umeanza no matter how small,form ni kujituma na kujiamini. Ni possible. 👊


0
0
0