
Kuwa invited na Mayouths ni platform moja nzuri nimekuwa nikienda, lakini due to Covid staffs na protocols kibao zaku observe ni freshi tuchapiane online kuhusu vital issues tunafaa Ku air.
Nafungua nafasi kwa ma Youth wa power ndani ya Mesh mnichapie ni vitu gani tunafaa work on am ni noma zipi mtaani na mtaa gani tuna face. Ntakuwa na file report zangu kwa 5 Dpt which ntazi keep secret ila they'll come to our voices na watu bless.
#TuBongeMaYouth
0
0
0