
Kuwa na a mentor especially when you starting a ubsiness venture ni kitu muhimu sana because:
- Atakupea free tips.
- Atakupea free advice
- Ataku guide ukikwama
- Ukiwa na challenges ata come thru pia.
- Uta mature vizuri kwa biz since ukona helping hand
0
0
0