Kuwa well organized na being active always imenisaidia Sana. For example mtu asikukosee ulete hasira zako kwa customers. Lazima huwe na furaha Kila wakati. Usipelekee customers mood swings