Kuwakumbusha tu... July bado ni mapema. š
Usingoje mwisho wa mwezi ndio uanze kutafuta receipts na kuhesabu M-PESA.
Hizo vitu ndogo ndogo zikikusanyika, bookkeeping inakuwa headache. š
Ukifanya records zako kidogo kidogo:
ā Unajua pesa inaingia na kutoka wapi. ā Decisions za biashara zinakuwa rahisi. ā Month-end haikupigi surprise.
Biashara nzuri si ile inauza pekee.
Ni ile owner anajua pesa yake iko aje. šÆ
Kama books zimeanza kukulemea, tuongee. Niko ready kusaidia. š¤
0
0
0