
Kuwekwa CRB ni ngori mbaya!Nishawahi apply job fulani kwa kampuni moja kubwa Nairobi nikaiitiwa interview na nikapita vinoma sana.After kuchaguliwa,wakaitisha documents zangu moja yake ikiwa clearance ya CRB.VIle waligundua niko CRB na deni kubwa hiyo chance ya hiyo job ilinitoka hivyo. Iliniuma sana sababu hiyo time nilikuwa down financially na nilikuwa nimetarajia hiyo job itaniinua. Ni vyema ulipe deni zako zote. #Epuka CRB!
0
0
0