
Kw maoni yangu ,itadepend na hio biashara ya M-Pesa coz inaweza tofautiana kulingana na place na ubig wa biashara . Kw maoni yangu ni ka vilivyo nmepanga hapo chini
Kw lisence, lazima useek kutoka Safaricom au kacamany inayoshughulika na biashara ya M-Pesa.
Kw float : lazima mtu awee na dooh kiwango flani kw akaunti yake ya M-Pesa ya kufanya withdrawal and na kusend.pesa ka 20k to 75k hivi au more kulingana na hio place ya kazi.
Gharama ya hapo ka vle phone ya receive na kusend pesa na vifaa vingine ya duka lako ka vle account book ya kazi.inaeza kugharimu ya around 20k and above .
Rent pia lazima ujipange pia vilivyo .
Myb pia ka watanga business ishike pia Kabisa,Gharama za matangazo na utangazaji ni important pia , Kutangaza biashara yako ni muhimu ili kuvutia customers
Lesence ya biashara kutoka Safaricom, Lazima upate ruhusa kutoka kw wa M-Pesa Safaricom. Ni very important kujaza fomu ya hio chance kuwasilisha biashara yako muhimu kama vile kitambulisho na cheti cha usajili wa jina ya business .
Lesence ya county : Unahitaji kupata lisence ya biashara kutoka kwa serikali ya hio county yako.
Lesence ya KRA muhimu pia na kupata number ya PIN ya biashara.
Kw kuchangua pa kufanyia job yako Fanya reserch ya hio soko kwanza Jua mpesa ziko ngapi zle ziko ngapi hio soko.
Tafuta eneo fitii kabisa Eneo lenye watu mob ,na iko shughuli mob ya kibiashara itakuwa fitii kwa mpesa business .