Kwa biz kuna fixed cost.Uuze usiuze lazima ulipe.Most common huwa rent.Unajua biz yako inago down ukiona inakuwa hard kulipa fixed costs.