
Kwa biz yangu kitu ya muhimu ni physical appearance to my customers. Lazima niwe clean Kila wakati na biz yangu pia iwe clean as always. When my customers comes am always expressing my gratitude to them kwa kukam na i always invite them wakam tena. Pia i thank them always when they come, hata wakikam kuulizia bei i use polite language kiwaongelesha. When explaining I use signs na tonal variation pia
0
0
0