kwa biz yangu mimi hutumia digital template.. examples ni kama email, online advertisements social banners na social posts. hii inanijenga sana juu ni easy kucommunicate na customers wako.