Kwa biz yangu mimi huwa nimesmile Kila time.. yaani my customers wakikam nawachangamkia na kuwa engage in a small conversation ili nijue kama they're satisfied au la.