Kwa biz yangu ya kebab na burger niliongeza samosa na smocha Hapa unga nilitumia kwa enye natengenezea kebab Hizi zilikua kidogo lakini with time zinaongeza income #ShareSalesTipZaki