
Kwa bizna kama unataka kua successful lazma ukue na qualities na principles wewe mwenyewe ..hizi qualities ni kama vile;
1.Discipline_ lazma ujue kumanage ur bizna eg cash flow,interaction na ur potential customers na pia lazma ukue na time management fiti.
2.creativity_kwa business world kuna competition mob so lazma ukue creative upate uko na difference poa from other businesses ili u stand out.
3.risk taker_lazma ukue unatake risks uone ni kitu gani itakua na faida kwa business yako juu pia ku try new things inataka mtu anajua kutake risk pia .so be fearless and go for that thing yenye unaona uki try na iwork out things will be good for you.
4.problem solver. Kwa business uta undergo many challenges ..so lazma ukue unajua kusolve problems zenye unapitia kwa biashara.
