
Kwa business kama kuna wasee wanaeza fanya biz i'kuwe succeful ama u'close ni hawa watatu. Kunaeza kuwa na more, but my experience tells me hawa ndio wana determine vile biz yako itakuwa.
🔱Suppler; Huyu ndio sasa yule unafaa ku respect juu anakuletea products and determine buying price and efficiency ya biz yako. Akaamua ku manipulate price ama kukataa kusupplier products success ya biz yako iko in jeopardy. 🔱Client; Pesa inatoka hapa sasa. Supplier naye akikuletea products na ukose clients means hakuna profit hence hakuna business. 🔱Gava; Licenses and ku monitor biz yako from kanju, KRA, makarau hadi other institutions.
Of course kuna wengine thought not essential, kama vile banks, brokers etc. But the 3 said ndio unafaa kuchungana na relationship yako na wao, kama anadai kuwa na progress. Je experience yako iko aje? Kuna wengine?
