kwa business mambo ya location ukua muhimu sana. if you were to set up a Kiosk ama duka ya kawaida tu ungechoose location gani na kwa nini?