
Kwa episode 15 ya #ShujaazSTRA, Trix amepiga luku, na madem wanaanza kumuuliza place alitoa top yake. Hii inampatia idea ya kuanza biz ya nguo.
Kwa wasee wako kwa biz, uli-get idea ya biz yako wapi? Link ndo hiyo apo down tufike you tube,,,
https://m.youtube.com/watch...
0
0
0