
Kwa food culture sai nimecheki wasee kwa biz ya smokies na mayai wanadiversify foods kwa trollies zao
✨Trollies za stainless steel zikona a larger room ya kuaccomodate stock mob .
✨Ju bei ya smocha impanda lately wameintroduce waru za 30 bob na kuincrease amount ya kachumbari unapata with the order too which i think ni poa for clients .
✨Unaeza adi order half smocha at original price ya 40 bob .
We mtaa uko umeona changes ka gani kwa street food culture ,share apo comments section

0
0
0