
Kwa heights that's were I draw the line manzee nakuanga nimeogopa hio story. Heri nipake rangii ground floor . Vyenye nilikua nawashow mbao quality ni key for safety ya the workers na pia pedestrian wanao pita hapo chini . Lakini good biz ya painting na inahitaji moyo 💯 #construction

0
0
0