
Kwa hii company yetu (Cars Kenya)Sisi husema customer ndio number 1 ndio maana tunahost car shows na openings wasee wakuje wa interact na sisi wajue more about our bizz. Unapata tukifanya hivi hata tunaget clients kadhaa saa hizo ama in the future.
Pia tunaeza post story ya customer kwa website yetu as a testimony juu wasee wengi huthani kuimport magari ni tricky na doh utahitaji mingi, lakini si hivo. Also tubasupprt customer for some time even after the deliveryof the vehicle tukimake sure gari ina function vile inafaa.
0
0
0