
Kwa hii industry yetu kusikiliza customer ni muhimu sana, at times unapata customer at anakua mrude but wewe kama msee wa biz hufai kuongea na yeye vibaya. Hizi ni part of the challanges hukua kwa hii industry yetu, always ensure you are in good moods ever ukiwa biz
0
0
0