
Kwa hustle yangu huwa natumia signs whenever I am engaging a customer. Hii inasaidia customers kuelewa haraka. Pia i always smile to my customers since lazima uwachangamkie wakikam na nawaongelesha using a polite language ili kuwaconvince wanunue kwa biz yangu.
0
0
0