
Kwa kawaida hustle yangu huwa ni ya stima. Tangu corona iiingie mambo ulikua hard ikanilazimu nitafte side hustle (tailoring and branding) . For now its turning to be my main hustle- I also employ youths to assist.#formNiKujengana #as a hustla hufai kua na hustle moja. Keep trying #SISINIMESH #FormNiKujengana
0
0
0